Ambiele Kiviele
JF-Expert Member
- Dec 29, 2014
- 15,270
- 29,938
HahahahahaLikes huku ukisukumizia na mpira. Na ka kinywaji pembeni. Na Goddess hapo akiwa kwenye kipande cha kanga. Perfect combo [emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️
Mungu ni mwema atamfanyia wepesiAsante shemeji. Mama hivyo hivyo tu. Madaktari wanahangaika. Mungu Atamsaidia!
Yaani leo tutahama humu[emoji23][emoji23]naona wanaongoza kwa 4-0Jamaa zako wameshinda ngoja Waje
Wanakoma na nini
Na hicho ndo kitu kibaya sasa. Anajidai hajaumia lakini mood yake imebadilika. Akifika nyumbani mkali kama mbogo watoto na mke kufokewa tu. Kisa eti timu yake ya Ulaya imefungwa. Sad !!!Huyo kuumia ataumia ila mwenyewe utamsikia sijaumia saaana kidogo tu[emoji23][emoji23][emoji23]
Acha kabisa haya mahaba mengine hayaNa hicho ndo kitu kibaya sasa. Anajidai hajaumia lakini mood yake imebadilika. Akifika nyumbani mkali kama mbogo watoto na mke kufokewa tu. Kisa eti timu yake ya Ulaya imefungwa. Sad !!!
Wamemkorofisha nini tena Mwanakoromije mwenzangu?Wakandarasi wanakoma Kwa Makonda leo. Na kwa style yake ile ya kuongea utafikiri anaongea na wanae...
Sent using Jamii Forums mobile app