Ambiele Kiviele
JF-Expert Member
- Dec 29, 2014
- 15,270
- 29,938
Hahahha amekuwa waziri wa ujenzi kwaniCheo kina nguvu kuliko umri tambua hilo.
Hahahahaha nakuambia wewe subiri mpka kichwa kichafu atakuja[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Yaani leo tutahama humu[emoji23][emoji23]naona wanaongoza kwa 4-0
Byutifuuu...
To sad kabisa unafokea watoto kisa mpira tena wa ulayaNa hicho ndo kitu kibaya sasa. Anajidai hajaumia lakini mood yake imebadilika. Akifika nyumbani mkali kama mbogo watoto na mke kufokewa tu. Kisa eti timu yake ya Ulaya imefungwa. Sad !!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Good answer !!!!Tuangalia mpira mkuu na likes
AMUN RA16:22
AMUN RA
Kwenye mkoa wake hakuna cha waziri wala nani. Wote majiganyanza. Kama hupendi unahama [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahahha amekuwa waziri wa ujenzi kwani