Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Andika chini mambo 10 Ambayo unashukuru kuwa nayo– Kila mtu ana jambo ambalo analo na ambalo mtu au watu wengine hawana. Yawezekana huna hela leo lakini una afya nzuri na salama. Unaweza kuwa huna watoto lakini unao ndugu,jamaa na marafiki wanaokupenda na kukujali. Tizama mambo yaliyokuzunguka. Chagua yale ambayo yanakupendeza. Yazingatie hayo zaidi. Take a deep breath. It’s just a bad day,not a bad life.