Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Andjul, unasalimiwa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
I love uKama wazee wetu walivyoishi kwa kutembea hata sisi tunajionea jinsi walivyo wakakamavu na walivyoishi muda mrefu. Miongoni mwa mazoezi mepesi na yasiyo na masharti makubwa ni yale ya kutembea. Kutembea ni njia rahisi za kufanya mazoezi.