3. Kutumia
dawa vizuri. Hii ni pamoja na kumeza dawa kwa wakati, kumeza dozi sahihi, kumeza
dozi zote katika siku na kumaliza dozi na dawa zote.
Tumia dawa zote kama
ulivyoelekezwa na daktari,
4. Wataalam
wa dawa kushirikiana na madaktari ili kutoa dawa bila kuwa na muingiliano wa
dawa na dawa zingine, magonjwa na hata vyakula.
Pia wakati wa matibabu na
kupewa dawa mgonjwa aeleze kama ana magonjwa mengine na kuna dawa zingine
anazitumia
5. Kujikinga
ili kutoambukizwa vijidudu vya magonjwa kutoka kwa wagonjwa wengine
Hapa ni suala la kuzingatia
kanuni zote za afya za kuzuia magonjwa na kujikinga dhidi ya magonjwa
mbalimbali
Tatizo la usugu wa magonjwa na kufeli kwa
dawa ni kubwa lakini linaweza kutokomezwa kabisa. Jamii nzima tushirikiane ili
kutokomeza tatizo hili na tuwe na afya bora.
[quote uid=403420 name="Numbisa" post=22925606]Kama wazee wetu walivyoishi kwa kutembea hata sisi tunajionea jinsi walivyo wakakamavu na walivyoishi muda mrefu. Miongoni mwa mazoezi mepesi na yasiyo na masharti makubwa ni yale ya kutembea. Kutembea ni njia rahisi za kufanya mazoezi.[/QUOTE]<br />I love u
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.