Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

8. Jizoeshe kuwa na upendo kwa watu hadi tabia hiyo iwe hulka yako.

9. Kila inapotokea fursa, usikose kumsifu au kumpongeza mtu kwa jambo lolote zuri alilofanya au mafanikio aliyopata. Pia onyesha huruma kwenye mambo ya huzuni au masikitiko yanayowapata watu.
 
10. Daima onyesha kwa watu imani na mapenzi ya dhati kutoka moyoni mwako, nao wataonyesha upendo wa kweli kwao.

Kutokana na makala haya na mifano niliyoitoa, natumaini tumeweza kutambua tuna hisia gani kuhusu marafiki.

Hapana shaka pia tumeweza kujifunza umuhimu wa kuwa na marafiki na jinsi ya kupata marafiki wa kweli.
 
Sasa hebu turudi tulikoanzia. Acha swali la marafiki wa kweli kwa muda, ili tujiulize swali jingine. Je, ukiwaorodhesha marafiki zako wote wanaweza kufikia wangapi?

Je kama ungefariki leo, unafikiri ni marafiki zako wangapi wangefika kwenye msiba wako? Kama ni wachache sana bado unahitaji kutafuta marafiki.

Nina hakika kila mmoja wetu ana marafiki aliowapata katika nyakati mbalimbali za maisha. Lakini pengine kuna wengi tuliowapoteza.
Swali la kifalsafa hili. Afike rafiki mmoja au milioni kwenye mazishi yangu kwa kweli kwangu haijalishi. I am dead...Uzikwe na dunia nzima kama Mandela au uzikwe na wanakijiji wasiozidi 50 kama omba omba mashuhuri Mzee Matonya sidhani kama wewe marehemu inakusaidia sana. Cha muhimu ni kumtegemea Mungu ili hata ukifia kwenye ajali majini na maiti yako isionekane tena uende kwa amani huko uendako. Zingine zote hizi ni mbwembwe za walimwengu tu. Ni maoni yangu tu lakini [emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️
 
Ukisha kufa huna chako tena

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom