Swali la kifalsafa hili. Afike rafiki mmoja au milioni kwenye mazishi yangu kwa kweli kwangu haijalishi. I am dead...Uzikwe na dunia nzima kama Mandela au uzikwe na wanakijiji wasiozidi 50 kama omba omba mashuhuri Mzee Matonya sidhani kama wewe marehemu inakusaidia sana. Cha muhimu ni kumtegemea Mungu ili hata ukifia kwenye ajali majini na maiti yako isionekane tena uende kwa amani huko uendako. Zingine zote hizi ni mbwembwe za walimwengu tu. Ni maoni yangu tu lakini [emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️Sasa hebu turudi tulikoanzia. Acha swali la marafiki wa kweli kwa muda, ili tujiulize swali jingine. Je, ukiwaorodhesha marafiki zako wote wanaweza kufikia wangapi?
Je kama ungefariki leo, unafikiri ni marafiki zako wangapi wangefika kwenye msiba wako? Kama ni wachache sana bado unahitaji kutafuta marafiki.
Nina hakika kila mmoja wetu ana marafiki aliowapata katika nyakati mbalimbali za maisha. Lakini pengine kuna wengi tuliowapoteza.
Wazee wa darajani nao sijui kama watatoka salama leo.Siku hizi anaanzia sub
Ukisha kufa huna chako tenaSwali la kifalsafa hili. Afike rafiki mmoja au milioni kwenye mazishi yangu kwa kweli kwangu haijalishi. I am dead...Uzikwe na dunia nzima kama Mandela au uzikwe na wanakijiji wasiozidi 50 kama omba omba mashuhuri Mzee Matonya sidhani kama wewe marehemu inakusaidia sana. Cha muhimu ni kumtegemea Mungu ili hata ukifia kwenye ajali majini na maiti yako isionekane tena uende kwa amani huko uendako. Zingine zote hizi ni mbwembwe za walimwengu tu. Ni maoni yangu tu lakini [emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️