Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

MAZIWA yanaweza kugawanyika katika mafungu manne, maziwa halisi
(fresh), maziwa ya mgando, maziwa ya maji ya kwenye makopo au pakati
(canned) na maziwa ya unga kwa ufupi hayo ndio makundi ya maziwa.
Baada ya kuyafahamu tuyaangalie kwa undani.
 
Maziwa halisi (fresh) ni maziwa ambayo yamekamuliwa na kuhifadhiwa
kama yalivyo. Hayajaongezwa wala kupunguzwa kitu chochote. Maziwa ili
yatumike kama kinywaji au kuhifadhiwa ni lazima yachemshwe ili kuuwa
wadudu hatari na wale wanaogandisha maziwa.
 
Ni vyema ifahamike kuwa si maziwa yote huwa ni salama. Kama
nilivyoeleza hapo awali, maziwa yanaweza kubeba wadudu wa magonjwa
kutoka kwa ng'ombe, mazingira ya ukamuaji na vyombo vya kuhifadhia au
mkamuaji mwenyewe. Kwa sababu hizo basi ni vigumu kwa maziwa kuwa
salama.
 
Watu wengi hugandisha maziwa bila ya kuchemsha. Imani yao ni kuwa
wadudu watakufa au hawatazaliana tena. La hasha. Kutozaliana si sababu
ya kutochemshwa. Wadudu wapo, ila hawataendelea kuzaliana. Hivyo
watakudhuru pamoja na uchache wao. Ni vyema kuyachemsha ndipo
kuyagandisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…