Gordita
JF-Expert Member
- Nov 4, 2013
- 11,574
- 55,644
Leo timu gani mzee wa iniSisi tuna cheki games hapa EPL
Leo timu gani mzee wa iniSisi tuna cheki games hapa EPL
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Pamoja Mkuu
Mechi ngumu sana
HahahahahaNaona mambo yanaaanza kwenda kinyume na matarajio ya watu huko Wembley
Sent using Jamii Forums mobile app
Wafungwe tu hamna namnaLeo timu gani mzee wa ini
Wanajitahidi
Mambo yanaanza kua kinyume na matarajio ya watu,ila huyu bakayoko akizoea ligi atakua noma sanaBonge la goli japo siwapendi blues