Jamani tuwe makini na vyakula vya njiani!!
Kuna jirani yangu hapa katoka kazini kafika Sinza mori akakuta pweza basi akala pweza wa buku na kachori za mia tano! Akaomba na supu ya pweza ya mia tatu akashushia!
Baadae kaelelekea nyumbani kwake kamkuta mkewe akamuomba maji ya kunywa alipopewa akayanywa kisha akavua viatu, mkewe akamtengea maji ya kuoga baada ya kuoga akawa anapitia madaftari ya wanae, alipomaliza akajumuika na familia kula Chakula cha usiku kisha wakalala huku wamefunga milango yote.
Asubuhi kaamka, baada ya kuoga kavaa vizuri tu kaenda kazini... kwa ujumla Yuko vizuri katika kazi na anapiga kazi kama kawaida.
1-Mwaka wa kwanza, mume anaongea huku mke anasikiliza.
2-Mwaka wa pili mke anaongea, huku mume anamsikiliza.
3-Mwaka wa tatu mume anaongea na mke anaongea, huku majirani wanawasikiliza.
4-Mwaka wa nne, mume anaongea mke anaongea majirani wanaongea na mahakama inawasikiliza.
Chezea ndoa za sasa*.
Huu Ufala wa Madem Huwa Mnavaa Earings Kwa Mapua, Ulimi, Masikio sijui kwa Uso...Maneckless ka mia Mbili...!!!
Mwingine ameanguka jana Town ametoa sauti Ka sufuria
Kupwangalangichikong'oung'enkikounkong'ouu
stress ni pale unapokakuta kabwana mdogo ambacho hakajaenda hata shule kana maela mpaka anaumwa, halafu wewe na masters yako unapuyanga tu mwaka wa nne sasa*
*Stress zaidi ni pale unapokumbuka ulimwambiaga; dogo zingatia shule utakufa masikini*
Siku moja kabla ya harusi yako, Bakhresa anakuomba uachane na hiyo harusi ili ufunge ndoa na mtoto wake. Amekuahidi kukupa Bilioni 500 taslimu za kitanzania; UTAFANYAJE?????
Mimi nitakubali sio kwamba napenda sana hela ila kwa sababu napenda kuheshimu wazee tu!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.