Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
I am officially solivagant [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Amkia weweHeshima zenu wakuu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Huwezi amini na mimi kuna kitu nimemzidi Billgate
.......Mbona unashangaa si nimemzidi UMASIKINI.
Kwema shemeji yangu. Jumapili yako inaishaje? Tumshukuru Mungu !!!Habari ya jumapili shemeji?kwema?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hata pua unaweza mzidiHuwezi amini na mimi kuna kitu nimemzidi Billgate
.......Mbona unashangaa si nimemzidi UMASIKINI.
Kamanda wa Kibiti sema...Kibiti kumepooza siku hizi. Good job !!!Heshima zenu wakuu
Mchumi na mpira wapi na wapiWenger amewekwa, waliomuweka wanamkubali. Si tumebaki LABDA
Wenger amewekwa, waliomuweka wanamkubali. Si tumebaki LABDA
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa muda ilikuwa
DuJAMANI TUWE NA MSIMAMO NA TUSIKUBALI KUDANGANYWA
IKO HIVI.....
..........HIVI ALIEGUNDUA SAA ALIJUA ULIKUA MUDA GANI?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mwalimu kauliza swali, "Ukitumia mbolea ya Urea unashauriwa kupanda nini" Mi nikajibu "Mlima", Naona mwalimu kamtuma Juma fimbo , nafkiri anataka ya kufundishia ubaoni.