Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Tangawizi inaweza kuwekwa karibu kwenye kila chakula, iwe ni katika kuilainisha nyama nyekundu, kuongeza radha katika nyama au samaki, kama chai, kwenye juisi na kadharika. Binafsi napenda ikiwa kwenye juisi ya matunda ndiyo inakuwa tamu zaidi na inaenda kufanya kazi mwilini haraka zaidi.
 
31250915ee9648d8d07b58be1bc08fb2.jpg

Diaper-Nappy [emoji3]
 
Leo nimekuletea hii juisi ya tangawizi, nimetumia tangawizi mbichi za ukubwa wa kati nne, parachichi moja na asali mbichi vijiko vikubwa saba na na maji lita moja na nusu. Unaweza kutengeneza nyingi zaidi na kuihifadhi katika friji, mhimu hapo ni tangawizi.

Kunywa glasi 1 (robo lita) kutwa mara 2 na mtoto miaka mitatu mpaka 11 hivi kunywa glasi 1 kutwa mara 1.
 
Back
Top Bottom