Mbona kunautofauti mkubwa sana mkuu.Mod fungeni mauzi kama haya yanaharibu akili za watu... imekaa kifacebook facebook au unganisheni na ule uzi wa Mwisho ndio mshindi maana hauna tofauti
Kweli jamaaa ni mchanga kabisa maana makanikia yanathamaniMbona kunautofauti mkubwa sana mkuu.
Uzi unatofautiana sana naona bado unawenge la makinikia wewe
Dawa yake mgonge likeUnaniquote nikupe like huku wewe hutoi
Eeeeeeeh
Bado hatua toa hadhima yetu ya leo.
Maana kunamajukwaa wanaabudu likeHakika maana zilikuwa adimu kwenye thread nyingine.. Hapa kedekede
Hahahaha tutabanana hiyo 40 kJana niliingia nikatoa likes kama 120 hivi, nikasema ngoja kesho niisubirie hiyo 30000.
Nitaitafuta tena 40000.
Ila likes naendelea kumwaga bila hiyana.
Hahahaha tutabanana hiyo 40 k