Ninawapa stori ya ukweli. Hapo zamani wakati nina watoto wadogo nilimwajili binti nimwite Mage.
Usiku nilikuwa nahakikisha kabla ya kulala nafunga mlango. Mara nyingi asubuhi nilikuta mlango hilo wazi.
Mimi ni mwanasayansi, kanuni ya kwanza ya Newton inasema kila kitu uendelea kuwa kama kilivyo kimetulia ai katika mwendo MPAKA TU HAPO itokee kani (force) kubadilisha hali ya kile kitu.
Baada ya kuona ile hali nikatulia. Nikajiwekea utaratibu usiku wa manane nikawa naamka nanyata kucheki mlango.
Siku moja nikakuta mango huko wazi nikasubiri baada ya kujiridhisha lila kitu kiko salama.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.