Hahahaha
Baba yake aliitwa Zulfikar Ali Bhuto alihudumu kama waziri mkuu wa Pakistani kati ya 1973-1977 alipopinduliwa na jeshi la nchi hiyo na kukimbilia uhamishoni.Huyu mama alikuwa waziri mkuunwa nchi gani vile ama nimejichanganya tu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hili ziwa nalijua, halina inlet wala outlet yoyote. So usitudanganyeziwa hili pia lina ingiza tu maji na hali toi maji kwa sababu liko katikati ya milima hivyo kuonekana kama liko shimoni alafu halina ufukwe, ziwa hili linalopatikana katika Hifadhi ya msitu Uporoto (Poroto Ridge) yenye eneo la hekta 9,332 ipatikanayo karibu na vijiji vya Kisanga 4.3km Uyole (24.4km) na mji mdogo wa Tukuyu upatikanayo wilaya ya Rugwe.