Ziwa Ngosi au Ziwa Ngozi?MAAJABU YA MUNGU RAMANI YA BARA LA AFRIKA ZIWA NGOSI
Ngosi ni ziwa la kreta (crater lake) lipatikanalo Mkoa wa Mbeya kwenye milima ya Uporoto, Wilaya ya Rungwe lipo katika nyuzi 9.008°Kusini na 33.553°Mashariki, ni ziwa la pili kwa ukubwa barani Afrika baada ya lile lililoko nchini Ethiopia. Hata hivyo, wataalamu wanasema kwamba Ziwa Ngosi lina sifa za kipekee linazolitofautisha na lile lililoko Ethiopia.
Amin, mwenyezi mungu atuongoze vema leo na awape tahfif wenzetu wenye maradhi. InshaallahNiwatakie siku njema yenye mafanikio
Mungu atuongoze na kutujaalia baraka zake
Tuwaombee wagonjwa na wote wenye matatizo
Ofisi yake ipo Ilala karibu na soko la Karume. jirani na ofisi yake pana kituo cha basi cha boma na kuna shule ya msingi boma.fika utampata
Ni usajili makini na uzoefu wa timu iliyotulia
Kwani wewe unalifahamu ziwa gani?Ziwa Ngosi au Ziwa Ngozi?
Tuwekane sawa