Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

mzee wa liver una kasi ya hatariiiii
Screenshot_20170821-123445.png
 
*_Nimeipenda hiiiiiii!_* [emoji4]

Utasikia watu, eti watumie watu 10
» *Utaingia peponi*.
Au
» *mambo yako yatakuwa mazuri.*

*_Hivi mnadhani Peponi mchezo!_*

» Yohana mbatizaj *aliishi hadi mapangoni kwa kula asali na nzige* kwa ajili ya kuitangaza injili.

Mtakatifu Yohana yule mwanafunzi wa Yesu, *alikaangwa kwenye mafuta yanayochemka, baadae akatupwa kwenye kisiwa cha mateso cha Patmo mpaka akafunuliwa mambo mazito na magumu.*

Isaya *aliuwawa kifo cha kukatwa vipandevipande kwa msumeno wa kukatia mbao akiwa hai.*

Stephano *alipigwa kwa mawe mpaka akafa.*

Daniel *alitumbukizwa kwenye tundu la simba sababu ya kuishindania imani.*

Yusuph *ilimbidi kwenda gerezani kwa sababu ya kuulinda utakatifu wake.*

Shedrack, Meshack na Abednego *walitumbukizwa kwenye tanuru la moto.*

*_Yote hii ni kwa sababu ya kuisimamia imani._*

_*Leo hii anatokea, mtu, kwa msg yake isiyo na_ *mashiko* _wala_ *vina* *_alafu anakutisha, anakulazimisha utume kwa watu 10 maisha yako yatakuwa mazuri, au eti mimi ni_ YESU/MTUME MOHAMED S.A.W. _nakuagiza tuma ndani ya dk 3._*

*Unadhani mbinguni ni kariakoo?*[emoji45]

* Kwa sms tuu *ukale bata mbingun, halafu unategemea uingie Peponi, tusidanganyane.*

*Peponi sio mas'hara ndugu yangu, sio maneno matupu na sms nyingi.*

*Tumche Mungu kisawasawa.*

WAKUMBUSHE WANAOGAWA PEPO KWA SMS... [emoji34]
Kabisa mkuu
 
Back
Top Bottom