Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Nipo hapa kliniki ya mama na mtoto;ghafla na msikia mama mmoja ana mwambia jirani yake " Nipe Chupi yako nitumie ya kwangu nimeisahau nyumbani" nikamuuliza kwa mshangao chupiiiii! akanijibu "eeh ,chupi ya kumpimia mtoto uzito".
WANAWAKE MJUE KUWA WANAUME TUNAWAONA MJUE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…