Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

3dd13c8616d9624a91afce411010691f.jpg
[emoji23] [emoji23]
 
Nipo hapa kliniki ya mama na mtoto;ghafla na msikia mama mmoja ana mwambia jirani yake " Nipe Chupi yako nitumie ya kwangu nimeisahau nyumbani" nikamuuliza kwa mshangao chupiiiii! akanijibu "eeh ,chupi ya kumpimia mtoto uzito".
WANAWAKE MJUE KUWA WANAUME TUNAWAONA MJUE
Bwahahahaha kama nakuona vile ulivyokodoa macho huku ukivuta taswira yake akiwa hana chupi.
 
Back
Top Bottom