Mzee wa mbuluNanga inapaa..
[emoji15] [emoji15] [emoji15]
Hizo hapo utareta mrejesho tu weweNimemwaga likes mia kidogo. Fadhila zenu pla
JoyHappy happy joy joy
Hahaha kabisaaaInabidi usubiri kama unabet
Ha haUzi huu ni kama maji, usipoyanywa utayoga
Atakuwa kwenye ujenzi wa taifaJembekilo sijamuona leo
[emoji23] [emoji23]
Bwahahahaha kama nakuona vile ulivyokodoa macho huku ukivuta taswira yake akiwa hana chupi.Nipo hapa kliniki ya mama na mtoto;ghafla na msikia mama mmoja ana mwambia jirani yake " Nipe Chupi yako nitumie ya kwangu nimeisahau nyumbani" nikamuuliza kwa mshangao chupiiiii! akanijibu "eeh ,chupi ya kumpimia mtoto uzito".
WANAWAKE MJUE KUWA WANAUME TUNAWAONA MJUE
Mbwa na swaggz zake
MkuuWazee wa likes mpooooo