ho chi minh
JF-Expert Member
- Sep 27, 2016
- 32,904
- 163,077
Mtema kuni ni hatari,[emoji23][emoji23][emoji23]mtema kuni alikufanya nini ho?
Ukitekwa asubuhi unanawa maji yalowekwa pilipili,
Unakunywa maji yenye pilipili,
Mchuzi una pilipili nyingi sana,
Maziwa yana pilipili!
Unaoga maji ya pilipili!
Nilitekwa na binti mmoja ilikuwa hatari,
Mashuka yaliwekwa pilipili,
Uzuri tulipewa chumba chetu wawili tu.
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app