Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji23][emoji23][emoji23]mtema kuni alikufanya nini ho?
Mtema kuni ni hatari,
Ukitekwa asubuhi unanawa maji yalowekwa pilipili,
Unakunywa maji yenye pilipili,
Mchuzi una pilipili nyingi sana,
Maziwa yana pilipili!
Unaoga maji ya pilipili!

Nilitekwa na binti mmoja ilikuwa hatari,
Mashuka yaliwekwa pilipili,
Uzuri tulipewa chumba chetu wawili tu.



Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…