Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Mzee wa Liva na wengine wachache ndo wataelewa hii kitu. Hata mimi sielewi kwa hivyo usiniulize !!!
Dah
Yegomasika[emoji137][emoji137]
Ungekua unaelewa na mimi ningekuuliza,subiri mzee wa liver ajeMzee wa Liva na wengine wachache ndo wataelewa hii kitu. Hata mimi sielewi kwa hivyo usiniulize !!!
![]()
Naona atakuwa mzima wa afya majukumu may be muda ni dawa wacha tusubiri siku haijaisha atakujaTumshukuru Mungu ila nina wasiwasi na Andjul [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Waandishi wa habari hawatabiriki,ilipoteza mechi mbili mfululizo wataiponda kama hawajawahi kuisifu,bado mechi 36,here we go
19:4516:54
AMUN RA
Judge number 54
UNIVERSES are on my side forever
Ni mambo ya FOREX haya nasoma soma lakini ni kigongo balaa. Itabidi tu nimtafute Mzee wa Liva au QUIGLEY kwa sababu hakuna namna kwa kweli!!!Ungekua unaelewa na mimi ningekuuliza,subiri mzee wa liver aje
HahahahaNi mambo ya FOREX haya nasoma soma lakini ni kigongo balaa. Itabidi tu nimtafute Mzee wa Liva au QUIGLEY kwa sababu hakuna namna kwa kweli!!!