mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Utandawazi
Nilisoma ule uzi kwanza nikaona nachanganyikiwa nikaacha,though natamani nijue venye vitu vinaendaNi mambo ya FOREX haya nasoma soma lakini ni kigongo balaa. Itabidi tu nimtafute Mzee wa Liva au QUIGLEY kwa sababu hakuna namna kwa kweli!!!
Mkuu kwangu bado but maisha yanapoendelea lolote linaweza kutokea
Nzuri carbaHabari ya jumatatu wapendwa wa likes
Naimani mu wazima nyote
Kwako na Dr Numbisa hivi kwa nini shule nyingi za boarding za girls kwenye ratiba ya chakula lazima makande yawepoUmenikumbusha mbali daah!ila umesahau na makande[emoji39][emoji39][emoji39]
AiseeAione kijana wetu wa kukaya kabisa na anayeendesha jiji kama kaya yake !!!
Wengine walipona wengine ndio hivyo tenaNa hakuna wakumwajibisha kwa utapeli
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mawaziri hawa walifakamia uchafu wa huyu mzee. Unawaona wanang'ara full viyoyozi kumbe wagonjwa tu !!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Baada ya kutekwa naona amerudi kivingine. Safi sana !!!