Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Very very true broBinadamu sisi hakuna kitu aisee. Total solar eclipse hapa yaani kila kitu kimyaaa. Ni mambo kama haya yanayopaswa kutukumbusha kuhusu nafasi yetu katika ulimwengu huu na malimwengu mengine!
![]()