Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Aaa wapi. Usiku si ndiyo wakati wenyewe muafaka..[emoji23][emoji23][emoji23]
Mzee wa Tukuyu Leo Siku imeisha hatujakuona hii picha unaipenda sana kutumia I hope kesho utaonekana humu
Good for you!Hi my love
Niko nyuma sana Leo na nagonga likes
Aisee. Mianaume yote haina mpango wa kuoa mapema [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Usiku ni zhiiiiiiii...inaniuzi saana hii sauti ya mbu tena wanakujaga masikioni tu.Aaa wapi. Usiku si ndiyo wakati wenyewe muafaka..[emoji23][emoji23][emoji23]
YeuwiiAcha kudanganya uma mkuu
xhaka ni 35,giroud ni 12,ozil ni 43,hakuna uliyopatia
labda kama umekuja na yako humu,nianze kutafuta njiti na petrol