Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

View attachment 571884
Hii miwani ya kuangalia kupatwa kwa jua bei yake kamili ilikuwa haizidi $5.00 Siku za hivi karibuni watu wamekuwa wanapigwa $1000 kwa bei ya ulanguzi! [emoji16]
Mimi leo nimekwenda library hapa na ilikuwa inagawiwa bure; na nimeangalia total eclipse yangu bila shida....
 
KULALA
Kwa wastani mtu mzima katika hali ya kawaida anatakiwa alale kwa muda wa saa 6 hadi 8.Unapolala Usingizi ndio wakati ubongo unafanyakazi yake vizuri ya kuhifadhi kumbukumbu.Epuka kulala mara tu baada ya kula chakula.Ni vizuri unapolala kulalia ubavu wa kulia au chali.Hakikisha unalala sehemu safi.Uwe na nguo maalum ya kulalia zisizozakubana.Ni vizuri kusafisha mwili(kuoga) na kinywa(kupiga mswaki) kabla ya kulala.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…