Mehek
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 7,473
- 10,432
Akuuuu chitakiUsikimbie
zungumza vizuri huku ukichukua like.
Akuuuu chitakiUsikimbie
zungumza vizuri huku ukichukua like.
Akuuuu chitakiUsikimbie
zungumza vizuri huku ukichukua like.
Uwezo wa kichwa kichafu umeishia hapo kukuelewesha kariri tu itasaidia.Bdo sijaelewa makinikia ni nn
Hizi hapa kula likeMbona like hazizidi 5 ebu piga like 20 hapa chap
HahahahahHuu utafiti umefanyika kwa watu wa umri wa miaka 20 hadi 30, mijini na vijijini.
Wanaume, kwanini hampaki mafuta? Mnapaka usoni tu na mikononi lakini huko mnaacha. Whyy? Unakutana na mtu ukimshika eneo hilo kavu na ukikwangua lazma utoke na unga..? Mimi mwenyewe nimo ila nawakumbusha na wenzangu
Mamndenyi tutapeana woteakupe hivi hivi tu
Akuuuu chitaki
Hapa ni mwendo wa likeNi balaa watu hawataki kusikia kitu inaitwa break kbs.
KabisaMi nahitaji likes km 100 nkaziuze npate angalau kamtaji
Mtoto jovi unashika tama vizuri chukua likeAaah nitake radhi bhanaa nijipange upya kwani nimepanguliwa??