nimewaza sana mkuu
Namshukuru Mungu hali inaimarika vizuri,sijui huko kama umewasiliana nao? Ahsante kwa upendo.Kwema ndugu yangu?
Habari yako bi numbisaKULALA
Kwa wastani mtu mzima katika hali ya kawaida anatakiwa alale kwa muda wa saa 6 hadi 8.Unapolala Usingizi ndio wakati ubongo unafanyakazi yake vizuri ya kuhifadhi kumbukumbu.Epuka kulala mara tu baada ya kula chakula.Ni vizuri unapolala kulalia ubavu wa kulia au chali.Hakikisha unalala sehemu safi.Uwe na nguo maalum ya kulalia zisizozakubana.Ni vizuri kusafisha mwili(kuoga) na kinywa(kupiga mswaki) kabla ya kulala.