Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Ndiyo ajenda kuu ya hawa jamaa kwa sasa. Ukigomea hayo mambo msaada hupati !!!nimewaza sana mkuu
Glory to God. Hata mimi kaunafuu kapo. Tumshukuru Mungu na tuendelee kuomba [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]Namshukuru Mungu hali inaimarika vizuri,sijui huko kama umewasiliana nao? Ahsante kwa upendo.