Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Salute kwako mkuu
Cole world
 
Akizungumza na gazeti hili jana, Profesa Manyele alisema, “ Ofisi yangu inaiunga mkono kauli ya Mamlaka ya Chakula na Dawa nchini (TFDA) kuzuia matumizi ya mafuta hayo, Watanzania wanatakiwa kuwa wasikivu na onyo hilo.”
 
Alisema sheria inayoruhusu mtu yoyote kufanya biashara ya chakula

na dawa ipo chini ya TFDA, wao ndio wanaotoa kibali cha kufanya biashara na kutengeneza bidhaa, kwamba wakisema bidhaa fulani haifai wanatakiwa kusikilizwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…