Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Alisema tayari TFDA imeshaeleza athari ya kemikali iliyopo katika mafuta ya ubuyu inayoweza kuathiri afya ya Watanzania, kuwataka wananchi kuwa makini na kama wanahitaji taarifa za msingi wanatakiwa kwenda katika ofisi za Mamlaka hiyo.
 
Alisema mafuta ya ubuyu siyo dawa bali yanazuia maradhi sugu yasiyoambukiza, yakiwamo saratani kwa sababu kitaalamu yana ‘ant oxidant’ (uchachu) ambao pia hupatikana kwenye baadhi ya matunda kama maembe, machungwa na mananasi.
 
Ilieleza kuwa kiwango cha tindikali hiyo huweza tu kupunguzwa katika mafuta ya mbegu za ubuyu kwa kuchemsha mafuta hayo katika nyuzi joto 180 kwa muda wa saa nane au kwa kutumia teknolojia ya kutengeneza mafuta mgando (hydrogenation).
 
Tamko TFDA

TFDA ilitoa taarifa kuhusu matumizi ya mafuta ya ubuyu na kueleza kuwa yana kiwango kikubwa cha tindikali ya mafuta aina ya cyclopropenoic fatty acids ambayo huweza kusababisha athari ya kiafya endapo mafuta hayo yatatumika kama chakula.
 
Ilieleza kuwa kiwango cha tindikali hiyo huweza tu kupunguzwa katika mafuta ya mbegu za ubuyu kwa kuchemsha mafuta hayo katika nyuzi joto 180 kwa muda wa saa nane au kwa kutumia teknolojia ya kutengeneza mafuta mgando (hydrogenation).
 
Ilieleza kwamba baadhi ya athari zinazoweza kutokana na matumizi ya mafuta ya ubuyu ni pamoja na kuathiri vimeng’enyo (enzymes) vinavyosaidia katika uchakataji wa tindikali za mafuta mwilini (fatty acid biosynthesis).
 
Back
Top Bottom