Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

1. MELANCOLIN: Watu wa kundi hili (females and males) wana sifa zifuatazo -wana uwezo mkubwa kiakili (high intelligence Quotient) -ni wagunduzi wa mambo makubwa ya kisayansi -wanamudu vizuri masomo ya sayansi na hesabu -ni watu wenye pole pole na wasio na maneno mengi -wana hisia kali za upendo na ni kundi linalosadikika kuwa na upendo wa dhati -
 
Tulia ni swaga tu
0a0ca232f4ab8c505db69a864b891e82.jpg
 
Wanawajali sana wenzao hasa wanapokuwa katika shida na matatizo(i.e ndio maana hawa huwa waombaji –wanamaombi wazuri sana kiimani) -Wana huruma sana na hawapendi kuona wengine wakionewa -Wanajitolea kwa haraka na kwa dhati katika mambo ya wengine -Huondoa uchungu wao kwa machozi (wakiumizwa hulia haraka, hasa kwa upande wa wanawake/wasichana) -Hawajiamini kwa mambo wanayoyafanya (hata wakiwa darasanu si wepesi wa kunyoosha vidole ili kujibu maswali) -
 
Wanahesabu kushindwa kuliko kufanikiwa (mfano akitaka kuanzisha duka; badala ya kuwaza itakuwaje nikipata faida wanawaza itakuwaje kama duka litaibiwa ama kuungua moto, kwa maswali hayo anajikuta hata anafikia katika uamuzi wa kuahirisha uanzishaji wa mradi huo) -Wakata tamaa wanapokosolewa. -Wanapenda sana kutiwa moyo kiuhalisia. -Wanapenda kusoma, kusikiliza
 
na kusimulia mambo yenye tafakari na uchambuzi wa kina (hawapendi umbea) -Wanapotoa mawaidha mahubiri ama ushauri wengi(wanaosikiliza) huwa wanaguswa nao na hubadilika haraka kutokana na mawaidha hayo ama ushauri ama mahubiri hayo -Hawapendi kuvunja taratibu, sheria za eneo husika. -Wanapenda usafi na mpangilio mzuri wa vitu vyao -Ni wa vumilivu sana katika hali mbalimbali
 
Back
Top Bottom