Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

mfano wanapoonewa ama kuumizwa) -Hawapendi kufuatilia mambo ya wengine pasipo sababu za msingi. -Ni kundi mojawapo linaloathiriwa sana na magonjwa ya mashinikizo kutokana na kuwa wanawaza sana -Ni wagumu wa kusahau na hiyo imewasababishia kuwa wagumu wa kusamehe -Wanaumia sana wanapokosea ama kushindwa jambo Fulani -Wanajeruhika mioyo yao
 
kirahisi (i.e wakiingiwa na pepo wabaya si rahisi kuwatoka kwa sababu ya kutunza uchungu kwa muda mrefu mioyoni mwao) -Wana busara na hekima nyingi -Ni watu ambao wakiishika imani fulani wanajitahidi kuitimiliza sheria yote. -Ni wepesi wa kutubia makosa yao na kutubu kwa ajili ya wengine. -Wana aibu nyingi sana hasa kwa watu wasiowafahamu wala kuzoeana nao -Ni kundi la watu wanoridhika haraka
 
Masikini wengi kiuchumi duniani ni wa kutoka katika kundi hili kutokana na uoga wao wa kuanzisha mambo kwa kuhofia kushindwa -Watoto wanaozaliwa katika kundi hili inasadikiwa ni wengi huwa na ndoto za kufanikiwa mapema lakini ni wachache mno ambao huweza kutimiliza ndoto zao kutokana na uoga wa kuanzilisha mambo mapya. -Kundi linalopenda amani na utulivu -Wanaogopa sana matatizo, vikwazo na
 
changamoto -Katika familia baba na mama wakiwa melancolin upo uwezekano mkubwa kwa watoto kuharibika maadili kwa sababu hawa melancolin si wepesi wa kuadhibu -Mara nyingi hupenda kuonesha sura za tabasamu hata kama wapo katika matatizo makubwa -Hawapendi kumueleza kila mtu mambo yao binafsi -Ni kundi la watu wenye marafiki wachache -Wakati mwingine hupenda kujikataa. -Ni waaminifu na
 
wasema ukweli -Wanapenda kusaidia wengine kupita hata uwezo wao -Ni waaminifu sana kwa mambo ya kawaida na yale ya kiimani -Hawapendi kujionesha mbele ya macho ya watu -Hawa hawafai kuwa viongozi (si wazuri sana) kwa sababu wanapenda kusikiliza na kutafakari kila wanachoshauriwa hivyo hujikuta kuwa wanayumba kimisimamo. (mfano kama mkurugenzi/mwenyekiti wa eneo Fulani akiwa ni
 
melancolin yafaa sana msaidizi wake awe ni colerick -kingine kinachowanyima sifa ya kuwa viongozi wazuri ni kutokuwa na uwezo wa kujieleza kwa kujenga hoja zenye ushawishi mkubwa [Musa wa biblia alikuwa ni mmoja ya watu wa kundi hili, alikuwa hajiamini, anakata tamaa mapema, mlalamishi, asiyeweza kujieleza, licha ya kupewa msaidizi na Mungu bado tabia zake zilimuathiri na akajikuta anakosa nchi ya ahadi-Kaanani] -
 
melancolin yafaa sana msaidizi wake awe ni colerick -kingine kinachowanyima sifa ya kuwa viongozi wazuri ni kutokuwa na uwezo wa kujieleza kwa kujenga hoja zenye ushawishi mkubwa [Musa wa biblia alikuwa ni mmoja ya watu wa kundi hili, alikuwa hajiamini, anakata tamaa mapema, mlalamishi, asiyeweza kujieleza, licha ya kupewa msaidizi na Mungu bado tabia zake zilimuathiri na akajikuta anakosa nchi ya ahadi-Kaanani] -
 
Wanauhesabu upendo wa dhati kutokana na mambo wanayofanyiwa na sio kuambiwa (wanafurahia sana vitendo kuliko maneno} -Kwa upande wa wasichana inasemekana kuwa ndio ambao wanasumbuliwa zaidi na maumivu ya hedhi, na kujifungua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…