Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hatua ya tano
Hii ni kwa upande wa mwanaume. Ni vizuri kuvaa nguo zisizoweka joto kali na kubana. Unapaswa kuvaa chupi au nguo ambazo hupwaya na zimetengenezwa kwa pamba. Nguo za ndani zinazobana ambazo huongeza joto hupunguza idadi ya mbegu za kiume. Joto pia hupunguza ubora na utengenezaji wa mbegu za kiume.
 
Hatua ya nne
Ni muhimu mwanamke kufika kileleni kabla ya mwanaume; kufika kileleni kwa mwanamke husaidia kubadili mazingira katika uke kuwa ya ukakasi (alkaline) hivyo kusaidia mbegu za kiume “Y” kuwa imara zaidi. Uke kuwa na tindikali huipunguza uimara wa mbegu ya kiume.
 
Vyakula vingine ni kama vile nyama nyekundu, mayai, maziwa, vyakula vya baharini kama vile samaki, kamba na pweza.

Kwa upande wa mwanamke, anapaswa kula zaidi vyakula visivyo na tindikali kama vile kuepuka kula matunda yenye uchachu na vyakula jamii ya kunde kupitia kiasi.
 
Nipo shemeji. Tulikuwa hapa na akina Andjul tunakusema. Basically tulikuwa tunawatafuta wewe na KK mje muungane na bilionea wa maparachichi ili uzi uchangamke. Afadhali umekuja. Pole na majukumu !!!
Asante sana huyo bilionea namsaka sana,KK na yeye naona kabanwa sana na majukumu anaonekana kwa kuibia
 
Back
Top Bottom