Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kweli tupu! So far wanasayansi wanasema ni kwenye Black Holes pekee ndiko muda hukoma; na ukweli kwamba "the arrow of time always goes forward" bado ni siri kubwa ambayo bado hawajajua sababu yake. Kwa maoni yao hakuna sababu ya msingi inayofanya muda usiweze kwenda kinyume nyume. Na siku wakigundua siri hii wuhuuu! Watu wataweza kuishi milele kwa sababu itakuwa rahisi mtu ukigonga miaka 90 basi una-reset tu na unarudi kwenye 20s na maisha yanasonga. Ni dhana ya time machine hii iliyotabiriwa na baadhi ya makalikyulesheni ya Einstein mwenyewe. Tatizo kubwa na pengine hatari kubwa ya dhana hii ni pale mtu utakapojisahau na ku-rest vibaya ukarudi nyuma zaidi mpaka wakati ambao kwa mfano babu yako bado hajakutana na bibi yako. What will happen then? Will you annihilate yourself completely?

Wanasayansi bwana...Nawapenda sana !!!
 
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123]
 
Watu wenye afya ya kisaikolojia hawajakamilika. Wana sehemu yao ya matatizo, dosari, na makosa. Hata hivyo, ni jinsi wanavyojitambua wenyewe na jinsi wanavyokabiliana na msongo na hali ya kushindwa kwao ndivyo vinavyowatenganisha na watu wasio na afya ya kisaikolojia.
 
Watu wenye afya ya kisaikolojia wana sifa zifuatazo:
Wanajikubali wenyewe na wengine

Wanajipenda

Wanaonesha ipasavyo hisia kamili za binadamu, chanya na hasi zote pamoja

Wanatoa na kupokea msaada, upendo na hali ya kujali
 
Wanakubali maudhi yanayotokea maishani

Wanakubali makosa yao

Wanaonesha uelewa na kuwafikiria wengine

Wanajitunza

Wanawaamini wengine na wenyewe pia

Wanaanzisha malengo, mafupi na ya muda mrefu

Wanaweza kufanya kazi kwa kujitegemea na kutegemeana na wengine
 
Kuongoza mtindo wa maisha ulioimarika wenye afya ambao unajumuisha mazoezi ya kawaida, lishe bora, na usingizi wa kutosha.
Mfululizo wa Kawaida wa Hisia

Unawajua watu ambao wanaonekana kuwa “juu” muda wote? Watu hawa wanaonekana kuwa na ujasiri, furaha, na wamejawa na hisia nzuri masaa 24 ya wiki nzima. Japokuwa baadhi ya watu wapo kama hivyo, kiukweli ni watu wa kipekee. Kwa watu wengi, hisia ni zaidi kama zikiongezeka. Wakati mwingine wanajisikia
 
vizuri kuhusu wao wenyewe na wengine, mara nyingine hakuna kinachoonekana kwenda sawa. Hii ni ya kawaida na yenye afya. Maisha yana kupanda na kushuka, na wazo la “mfululizo wa kawaida wa hisia” unaakisi haya mabadiliko.

Kujithamini (self-esteem)

Kujithamini ni nini? Unajuaje pale mtu anapokosa kujithamini? Watu wengi hujibu hili swali kwa kusema kwamba wanaelezea kujithamini ambako ni chanya kama:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…