Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji818][emoji818][emoji818][emoji117][emoji117][emoji117]*"A rat swallowed a diamond and the owner of the diamond contracted a man to kill the rat.
When the rat hunter arrived to kill the rat, there were more than a thousand rats bunched up and one sitting by itself away from the pack. He killed the one by itself and that was the exact one that had swallowed the diamond.

The amazed owner of the diamond asked: "How did you know it was that rat?"
He responded: "Very easy! When idiots get rich they don't mix with others."

*LESSON*
When God answers your long awaited prayers, maintain your normal profile. Don't be proud!"*
 
What is the difference between ‘cemetery’ and ‘graveyard’?

From about the 7th century C.E., the process of burial was firmly in the hands of the Church (the Christian organization), and burying the dead was only allowed on the lands near a church (now referring to the building), the so-called churchyard. The part of the churchyard used for burial was called graveyard.

As the population of Europe started to grow, the capacity of graveyards was no longer sufficient (the population of modern Europe is almost 40 times higher than it was in the 7th century). By the end of the 18th century, the unsustainability of church burials became apparent, and completely new places for burying people, independent of graveyards, appeared—and these were called cemeteries.
 
Mwili wa binadamu una seli bilioni 50-200 za mafuta zilizogawanyika kwenye mwili wa binadamu. Kwa wanawake zipo sana maeneo ya matiti, nyonga (hips), kiunoni na kwenye makalio. Kwa wanaume seli zipo sana kwenye kifua, tumboni na kwenye makalio.
 
Sababu zingine ni kuwa na chembe za urithi za unene kutoka kwa wazazi. Kuna sababu za kimazingira na nyingine zisizojulikana.

Vitu kama kukosa usingizi na sababu nyingine zinachangia kuendelea kuwepo kwa kitambi ambacho kinaweza kuashiria maradhi ya moyo, kisukari na baadhi ya magonjwa ya sarat
 
MCHANGANUO WA SABABU 10 ZINAZOFANYA MTU KUENDELA KUWA NA KITAMBI

1. Unaanza kuzeeka

Kadri unavyozeeka, mwili wako unabadili jinsi unavyo ongezeka na kupunguza uzito. Jinsi zote; za kike na kiume, hupatwa na kupungua kwa utendaji wa kimetaboliki, kutia ndani kiasi cha kalori zinazohitajika kwa mwili kufanya kazi kwa ukawaida.
 
Zaidi ya hayo wanawake hupatwa na kukoma kwa hedhi, ikiwa wanawake wataongezeka uzito, mara nyingi uzito huo huwa kwenye matumbo yao. “Profesa Michael Jensen wa kliniki ya moyo alisema. Wakati wa kukoma kwa hedhi,
 
2. Kutofanya mazoezi kwa usahihi

Mazoezi ya kulala chali na kuinua mwili kuanzia kiuno hadi kichwa (Crunches) sio mazoezi yatakayokusaidia kuondoa kitambi. Badala yake fanya mazoezi ya stamina yatakayokufanya utumie nyama (muscles) za tumbo, mgongo, nyonga na sehemu zingine za mwili. Kufanya mazoezi ya namna hii kutasaidia kuunguza/kutumia kalori nyingi mwilini na hivyo kufanya mafuta yaliyo maeneo ya tumbo kutumika pia.
 
Mazoezi ya kukaa kwa muda jinsi fulani kama unapiga pushap kitaalamu inajulikana kama plunk, ndio mazoezi yanayofaa kwa kuwa huhusisha matumizi ya nyama za mikono, miguu na makalio.

Kukimbia kila siku ni mazoezi bora kwa mwili na moyo wako ingawa mazoezi kwa ajili ya moyo wenye afya peke yake hayawezi kusaidia maeneo ya kiunoni kutia ndani kitambi.
 
mazoezi ya kutafuta stamina huongeza ukubwa wa nyama za misuli kitu kinachofanya mwili wako kuunguza/kutumia mafuta kwa sana na kuondoa kitambi.” Anasema Kate Patton, mtaalamu wa lishe wa kliniki ya Cleverland. Patton anapendekeza dakika 250 za mazoezi ya kawaida au dakika 125 za mazoezi magumu kila wiki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…