Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
3. Una mkazo
Kuwa na majukumu mengi ya kikazi, familia, kulipa gharama za shule na bili mbalimbali kama umeme na maji kunaweza kufanya ugumu katika kupunguza uzito usiotakiwa mwilini, hasa kuanzia umri wa kati. Homoni ya mkazo iitwayo Cortisol huongeza kiasi cha mafuta kinachochukuliwa mwilini na kutanua seli za mafuta. Uwepo wa kiwango kikubwa cha homoni hii huhusiana kwa karibu na ongezeko la mafuta mwilini.