moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Nini limetupwa gizani SYB..... sidhan kama inamuhusu yoyote huku ndani😉🙂Ouch! Lishatupwa gizani. Ngoja tusubiri makelele sasa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]Kwema shemeji,sijamuona mana ndo naingia
Amina Mungu aendelee kutenda kwakweli[emoji120][emoji120]
Mkuu tufanyeje ili Coutinho abaki?Hahahahaha lakini mchina tayari nimeona uwepo wake that's good
[emoji121] [emoji121] [emoji121] [emoji121] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Weee mzee acha zako hizo...mimi na carba ni .....siku nyingi hata mdogo wangu Cole anajua sana
Nilitaka kuona machozi ya Carba tu teh.Weee mzee acha zako hizo...mimi na carba ni .....siku nyingi hata mdogo wangu Cole anajua sana
Ndo nini kunitesa hivi??[emoji22][emoji22]siku2 huonekani?hata barua eeh??Waaaatiiii!!!!!!![]()
[emoji23][emoji23][emoji23]ili upeleke salamu kwa bwana yule?
Kama kinywaji gani?Vilevile inabidi kunywa vinywaji vyenye caffeine kabla ya tendo la ndoa. Hii huongeza nguvu ya mbegu za kiume aina Y.
Hahahahaha siasa si mchezoAcha apambane na GT BAK huko. Akipata muda bila shaka atatutembelea...
Hapo ndipo pabayaUpatikanaji wa makopo ukoje?
Yeesss...yes..yeeeeesssssHatua ya tatu
Pendelea mtindo au staili inayofanywa na wanyama kama mbuzi wakati wa tendo la ndoa, yaani mtindo wa mwenza wako kuinama.
Mtindo huu huwezesha mlango wa uzazi kuwa karibu na sehemu ya kiume pia kuingia umbali mrefu zaidi ndani ya uke, hivyo basi mbegu za kiume humwagwa karibu na shingo ya kizazi na kulifikia yai haraka zaidi.
MhhhNini limetupwa gizani SYB..... sidhan kama inamuhusu yoyote huku ndani😉🙂