Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

kulipiza visasi -Watu wa vitendo kuliko maneno -Ni waonevu, wanapenda dhuruma na ubabe -Ni watu wakulazimisha mambo hata kama hayawezekani -Huwa wanatumiwa sana kwa ajili ya kuzima ghasia, uasi ama kuanzisha jambo lenye upinzani eneo fulani -Wanafaa sana kuwa viongozi
 
kutokana na uhodari wao wa kuwaongoza watu kwa sera za ushawishi wenye mlengo -wa kiukandamizaji -Hawajui kubembeleza -Hawaongei wala kucheka ovyo -Wanapotenda jambo huwa wanawaza namna ya kunufaika na hata kama akimsaidia mtu anawaza namna ya kurudishiwa hicho alichokitoa -Ni kundi la watu matajiri sana duniani hasa
 
kutokana na uimara wao katika kuthubutu kutenda mambo na hali zao za kutoogopa hasara -Si watu wanaopenda suluhu na amani -Unadhifu na usafi wao ni wa wastani -Hawapendi starehe kwa wingi -Ni watu wanaoweza kufurahia mazingira yenye dhiki na shida -Siku zote huwa wanatafuta kufanya mambo ya kihistoria ili wakumbukwe hata baada ya kufariki -Wanafurahia
 
kushuhudia na kutazama hadithi, matukio na filamu zilizosheheni ukatili na za kutisha -Mifano ya watu wa kundi hilo: Idd Amin, Hitler, etc *SI TABIA ZOTE ZA KUNDI LAZIMA ZIANGUKIE SEHEMU MOJA. MAMBO MUHIMU UNAYOPASWA KUFAHAMU -Kila mtu amezaliwa na tabia fulani zinazomfanya awe katika kundi fulani -Huwezi kujibadilisha kundi -Kujifahamu kundi lako
 
kunakuwezesha kurekebisha madhaifu uliyonayo na kuimarisha mazuri uliyonayo. Pia inakusaidia kuwatambua watu wengine hivyo kuwa makini namna ya kuishi nao -Inawezekana kabisa kujifahamu upo kundi gani na pia kwa kusoma na kutazama ni rahisi kutambua makundi ya wengine *NITATAMBUAJE MIMI NI WA KUNDI GANI? -Watu wengi wana tabia za
 
kunakuwezesha kurekebisha madhaifu uliyonayo na kuimarisha mazuri uliyonayo. Pia inakusaidia kuwatambua watu wengine hivyo kuwa makini namna ya kuishi nao -Inawezekana kabisa kujifahamu upo kundi gani na pia kwa kusoma na kutazama ni rahisi kutambua makundi ya wengine *NITATAMBUAJE MIMI NI WA KUNDI GANI? -Watu wengi wana tabia za
 
makundi zaidi ya moja-Kwa wale tabia zaidi ya asilimia themanini kutoka kundi fulani hao wanaitwa pure (i.e pure sanguine etc)-Kama una tabia kutoka kundi zaidi ya moja, unaunganisha majina ya makundi mawili yenye tabia nyingi zaidi, unaanza jina la lile lenye asilimia nyingi zaidi. *Mfano: flag-coleick; cole-flagmetic, flag-colerick , sangu-melancolic, melanco-sanguine: etc
 
Kk anatuzingua sana Jana kaja mida ya wanga akasepa Leo ajatia timu
Na mchina Jana alichangamsha Leo naye zii sijui Uniq kafanya yake tena [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sijaona Mpare denjarazi kama Uniq aisee. Dogo ni hatari sana...Figisu figisu za kugombea demu tu ukizubaa anakutemakunisha jumla...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
4c345ff6d8ea0699ee5a3e2acbe10005.jpg
 
Back
Top Bottom