Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

za kuhubiri kwa mvuto na ushawishi wa pekee) -Hawaumii wanapokosolewa, ama wanaposhindwa jambo -Ni kundi la watu waoga sana (wanajiamini sana kwa maneno lakini kivitendo ni kunguru) -Si watunzaji wazuri wa siri (waropokaji) -Wanapenda kujaribu kila jambo linalokuja mbele yao -Wanaamini kuwa wao ndio watu bora kuliko wengine -Wanapenda sana kusimulia mambo ya wengine -Hawana
 
aibu hata mbele ya watu wasiowafahamu wala kuwazoea -Wanaume wa kundi hili huamini kuwa walizaliwa kwa ajili ya kuwasaidia wanawake -Ni wavivu wa kufanya kazi, wanapenda sana starehe na anasa na ndoto za kufanikiwa kwa miujiza huwa zimewatawala (wanapenda kuwaza jinsi ya kupata bahati nasibu, kuzawadiwa fedha na hata kuokota fedha ama madini) -Ni watu wasiojua namna ya kupanga na
 
a11f87c82db5da3c3d1f9380103ad151.jpg
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji817][emoji817][emoji817][emoji817][emoji817][emoji817][emoji817]
 
kuimudu bajeti kwa ustadi) -Ni watu wa mipango isiyoona mbali (wakurupukaji) (Ministers of emmergency affairs) -Ni wazuri katika kusifia(i.e wanazikubali kazi za wengine kirahisi na kwa dhati) -Kutokana na porojo zao hujipatia marafiki wengi na hivyo kuwa maarufu -Wanapenda kusikiliza na kusoma vitu ambavyo havina uchambuzi wa kina. Mfano ni Petro mtume wa Biblia: alipenda kujaribu kila kitu
 
alipomwona Yesu anatembea juu ya maji alitaka na yeye kufanya hivyo) alipenda kufahamu kila kitu (aliuliza habari za siku za mwisho) alipenda kujionesha kuwa ni jasiri (aliahidi kuteswa na Yesu), alikuwa ni muoga sana (alimkana Yesu mara tatu kwa kuhofia kuteswa na wayahudi), alikuwa ni mwinjilisti wa kutumainiwa (alihubiri siku ya Pentekoste), alikuwa ni mwepesi wa kukubali pindi
 
4. COLERICK -Wana uwezo wa kawaida kiakili -Ni wa wakali na wakaidi -Hawana huruma wala unyenyekevu -Watu wasiopenda kudharauliwa ama kuonewa -Wanapenda kuwatawala wenzao muda wote -Ni viongozi kwa asili ya kuzaliwa -Wanawaza
 
kufanikiwa pekee na wala sio kushindwa -Watu wasiokata tamaa mapema -Wanajiamini kupita kiasi -Hawana uoga ni majasiri sana -Hisia zao hasa za upendo, mapenzi hazionekani kwa uwazi(hidden emotions) -Kundi la watu wenye nguvu nyingi -Ni madikteta -Hawapendi kabisa kupingwa wala kukosolewa -Watu wa
 
Back
Top Bottom