Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Hayo ndiyo maneno ya hekima(ila futa la kumalizia),salamu imefika na leo atakuwepo humuNimekupata. Na kwa vile ulishatoa mahari japo hukumalizia basi kweli ni wako. Msalimie pamoja na wapwa zangu !!!
OkMama wa mithali sijui kapotea wapi wacha nimtafute halipo nitampata tu
Hongereni sana....Hii speed ya huu Uzi ni shida kabisa
HahahahaAsante kwa kunirekebisha kiswahili cha kisasa hiki ni hovyo sana
Yaani hapo nilikuwa nasifia[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Niliwakumbuka sana.carba sijui kama haja.....Ulimwengu huu umejaa mazizi kila kona mkuu na unaweza kujistress bure tu.
Yeah we were worried about you. Natamani Carba, KK na Cole wajitokeze...
[emoji125] [emoji125] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kk anatuzingua sana Jana kaja mida ya wanga akasepa Leo ajatia timu
Na mchina Jana alichangamsha Leo naye zii sijui Uniq kafanya yake tena [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
..Hny baby
Swty![]()
[emoji102][emoji125] [emoji125] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]