Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Screenshot_2017-08-22-09-35-16.png
 
Mkuu msalimie shemeji yetu mwambie tumemmiss sana humu yaani mnapotea wote
Ahsante, nitampa taarifa.Boss alinishusha kwenye lori (kwanza bovu silitaki tena)lake,nikaona isiwe tabu,tukajimuvuzisha kijijini kuyasaka maparachichi ili tuyauze tupate bando la kulaikia humu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
My love amerekebisha ni raha sana
Huu Uzi ni raha sana
Kwa kweli my love!
Huwa nikisoma comments huwa zinanichekesha na nyingine zina nijenga!
Na uzuri wake no mitusi!
No picha chafu au kudharauliana!
Kweli ni STRESS FREE ZONE!
Maana kuna biashara nasubiri!
Ningekuwa saa hizi nawaza tu, badala yake naingia kwenye uzi pendwa!
Thanks my love!
 
Back
Top Bottom