Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ulimwengu huu umejaa mazizi kila kona mkuu na unaweza kujistress bure tu.

Yeah we were worried about you. Natamani Carba, KK na Cole wajitokeze...
Kk anatuzingua sana Jana kaja mida ya wanga akasepa Leo ajatia timu
Na mchina Jana alichangamsha Leo naye zii sijui Uniq kafanya yake tena [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Mkuu mimi mwenyewe nilikuwa nahemea juu juu kwa kutokuonana nanyi.Jambo la heri Mungu katupa pumzi tumekutana tena.Naona zizi la SYB linatikiswa na kimbunga Katerina[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] liko imara kama jina lake SHIMBA ni kwenye msafara wa mamba kenge nao wapo
 
Screenshot_2017-08-22-09-38-15.png
 
Back
Top Bottom