Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
N192
Ilitupiwa na nani? Itakuwa ilinipita hiyo !!!Kuna moja ilitupiwa Jana ukuwepo hatari sana natafuta post no ngapi nikutumie usuuze macho[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mkuu mimi mwenyewe nilikuwa nahemea juu juu kwa kutokuonana nanyi.Jambo la heri Mungu katupa pumzi tumekutana tena.Naona zizi la SYB linatikiswa na kimbunga Katerina[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Njema kabisa jana tulikumiss sana lakini najua ni majukumu na pilikapilika za hapa na pale
Me too. Bingwa wa Kiswahili asiyependa mchezo mchezo...Kwenye majukwaa mengine hayuko?Na mmiss coco Chanel jamani!
Hahahahaha mkuu naona uko makini na movement [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mkuu wa Pemba, inaonekana una interest kubwa na Jakitoo, kulikoni? Nauliza tu kwa nia njema [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
HahahahaMkuu mimi mwenyewe nilikuwa nahemea juu juu kwa kutokuonana nanyi.Jambo la heri Mungu katupa pumzi tumekutana tena.Naona zizi la SYB linatikiswa na kimbunga Katerina[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]