Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

2141d346cba70c743ef076b992f973e7.jpg
 
Sio wako ni wangu,kwenu alisha toka[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23].Anaendelea vizuri japo hakuwa vizuri kutokana na safari ya jijini.
Nimekupata. Na kwa vile ulishatoa mahari japo hukumalizia basi kweli ni wako. Msalimie pamoja na wapwa zangu !!!
 
Mkuu mimi mwenyewe nilikuwa nahemea juu juu kwa kutokuonana nanyi.Jambo la heri Mungu katupa pumzi tumekutana tena.Naona zizi la SYB linatikiswa na kimbunga Katerina[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ulimwengu huu umejaa mazizi kila kona mkuu na unaweza kujistress bure tu.

Yeah we were worried about you. Natamani Carba, KK na Cole wajitokeze...
 
Back
Top Bottom