ISIS
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 96,072
- 858,588
Hili ni tatizo. Kamata likes..Watu wanasubiri like, hawataki kutoa like
Nakusindikiza na like huko huko.[emoji41] [emoji41] [emoji41] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Kula likeWe like alichoondika anajua mwenyewe
Indeed!When u call this thread has too much likes I call it less
HahahahaPia nimeamua kuuza nyumba yangu Ikwiriri mjini,
Ndani kuna makoti mawili ya zamani kidogo, msuli, kobazi pea moja, tochi,mwavuli na taa ya chemli.
Sema kamanda! Umefikisha ngapi?Shimba ya buyenze
Kama kibiti kipo nijulisheNauza kiwanja Mkuranga bei rahisi 400,000 kina hati.
Sema kamanda!
Friday itakuwa 1 week tangu kuanzishwaYaani ghafla tu uzi una 30k!!!!!Kwaheri makapuku.
Hahahaha