Bamia inasaidia kusafisha damu, kuponya mafua, kuondoa sumu mwilini na hutibu vidonda vya tumbo. Kwa watoto mboga hii ina faida chungu nzima.
Bamia inasaida kukabiliana na anemia, inazuia utapiamlo huku ikiimarisha mifupa. Ukiila kwa mpangilio mzuri itakusaidia kuongeza kinga dhidi ya maambukizi ya figo, saratani pamoja na pumu.
425. What is The meaning of Limited (Ltd.) Company ?
In a limited company, the liability of members or subscribers of the company is limited to what they have invested or guaranteed to the company. Limited companies may be limited by shares or by guarantee. The former may be further divided into public companies and private companies.
420. Which city is commonly known as the Big Apple?
"The Big Apple" is a nickname for New York City. It was first popularized in the 1920s by John J. Fitz Gerald, a sports writer for the New York Morning Telegraph. Its popularity since the 1970s is due to a promotional campaign by the New York Convention and Visitors Bureau, known now as NYC & Company.
Mboga za majani ambazo hazijakomaa na bado mbichi ni chanzo kizuri cha vitamin na madini ya aina mbalimbali. Washauri wa lishe wanahimiza ulaji wa kachumbali na vyakula vingine vibichi.
Mboga kama matango, kabichi, vitunguu, nyanya na karoti ni maarufu kwa utengenezaji wa kachumbali hapa nchini na kwingineko duniani. Pia, vyakula hivyo vikiwa na maganda yake vitumike kutengeneza juisi ili kupata madini na vitamin kwa wingi.
Ulaji mbogamboga unaondoa tindikali inayozalishwa wakati vyakula vingine vikisagwa tumboni kama vile nyama na jibini (cheese). Mboga za majani za kijani ni chanzo kikubwa cha carotene inayobadilishwa mwilini na kuwa vitamin A. Mboga ni chanzo kizuri cha vitamin C pia.
Pia, inasaidia ukuaji na ufanyaji kazi wa chembehai na kuimarisha kinga ya mwili. Vitamin C ina kazi nyingi ikiwamo kuimarisha ufanyaji kazi wa chembehai, inaimarisha kinga, inaponya mafua na vidonda. Baadhi ya mboga zina protini au wanga.