Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kuziosha vizuri kunaondoa dawa zilizotumika zikiwa shambani pia.

Dawa hizi huwa ni sumu zinapoingia katika tumbo la binadamu au wanyama.

Zaidi ya hayo, watu wawe makini kujua mahali zilipozalishwa mbogamboga wanazozinunua kabla ya kuzitumia ili kujua aina ya maandalizi wanayopaswa kuyafanya.
 
Miaka michache iliyopita, Chuo Kikuu cha Dar Es Salaam kiliwahi kufanya utafiti kuhusu ubora wa mboga zinazozalishwa kando ya barabara na zile zinazozalishwa katika bonde la mto Msimbazi, Jijini Dar Es Salaam.

Watafiti hawa walibaini kuwa baadhi ya mbogamboga hazifai kuliwa na binadamu wala wanyama kutokana na kuwa na kemikali zinazodhuru afya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…