Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mie niko pamoja nawe mkuu,
Tumehangaika na mzee huyo mpaka tumekata tamaa kabisa!

Hana jipya wala hatokuja kuwa na jipya, hivyo ni maumivu mpaka hapo atakapotoka mwenyewe kwenye timu.

Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
Hahahaha
tutulize maumivu na mlonge mkuu mpaka hapo hichi kichawi cha ufaransa kitakapoachia timu yetu sabaaash
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…